Uso unaotoka damu wa Martin Murray ukipokea konde la Gennady Golovkin katika pambano la uzito wa Middle, Monte Carlo usiku wa kuamkia leo. Golovkin alishinda kwa Technical Knockou (TKO) baada ya refa Luis Pabon kusimamisha pambano raundi ya 11, kumnusuru mpinzani wake.
Kwa ushindi huo wa 32 katika mapambano 32 kwa bondia huyo wa Kazakhstan dhidi ya Muingereza, Golovkin amefanikiwa kutetea taji lake la WBA uzito huo.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2963432/Gennady-Golovkin-stops-Martin-Murray-11th-round-unbeaten-GGG-defends-WBA-middleweight-title-against-brave-Brit.html#ixzz3SRLjrhTs
0 comments:
Post a Comment