REAL Madrid ikicheza bila nyota wake, Cristiano Ronaldo anayetumikia adhabu, imefanikiwa kushinda mabao 2-1 dhidi ya Sevilla Uwanja wa Bernabeu usiku wa jana.
James Rodriguez aliifungia bao la kwanza Real Madrid dakika ya 12 kabla ya Jese aliyetokea benchi kipindi cha kwanza kuifungia bao la pili Los Blancos dakika ya 36.
Bao la kufutia machozi la wageni, Sevilla katika mchezo huo wa La Liga, lilifungwa Iago Aspas dakika ya 80.
KIkosi cha Real Madrid kilikuwa; Casillas, Ramos/Nacho dk9, Varane, Marcelo, Arbeloa, Khedira, Kroos, Bale, Rodriguez/Jese dk27, Isco/Illarramendi dk90 na Benzema.
Sevilla; Beto/Rico Gonzalez dk35, Figueiras, Carrico, Kolo, Navarro, Krychowiak, Iborra, Mbia, Deulofeu/Vidal Parreu dk54, Bacca/Iago Aspas dk67 na Vitolo.
Rodriguez scored a diving header on 12 minutes to put the Champions League holders in front against Sevilla
The Colombia playmaker wheels away in celebration after scoring a delightful opener for Real during Wednesday's encounter
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2940195/Real-Madrid-2-1-Sevilla-James-Rodriguez-Jese-s-half-strikes-extend-hosts-lead-La-Liga-four-points.html#ixzz3Qq5YrR4N
0 comments:
Post a Comment