// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); REAL MADRID YAIACHA POINTI NNE BARCELONA LA LIGA BAADA YA KUIBUTUA 2-0 DEPORTIVO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE REAL MADRID YAIACHA POINTI NNE BARCELONA LA LIGA BAADA YA KUIBUTUA 2-0 DEPORTIVO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, February 15, 2015

    REAL MADRID YAIACHA POINTI NNE BARCELONA LA LIGA BAADA YA KUIBUTUA 2-0 DEPORTIVO

    TIMU ya Real Madrid imepaa kileleni mwa La Liga kwa pointi nne zaidi kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Deportivo La Coruna Uwanja wa Bernabeu, Madrid, Hispania.
    Mwanasoka wa kimataifa wa Hispania, Isco aliifungia Real bao la kwanza dakika ya 22 baada ya kazi nzuri ya Alvaro Arbeloa kabla ya Mfaransa, Karim Benzema kufunga la pili dakika ya 73 akimalizia pasi ya Cristiano Ronaldo. 
    Katika mchezo huo wa nyumbani kwa Real, kocha wao Carlo Ancelotti na kipa, Iker Casillas walizomewa na mashabiki wa Los Blancos.
    Kikosi cha Real Madrid kilikuwa; Casillas, Arbeloa, Varane, Nacho, Marcelo; Kroos, Illarra/Silva, Isco/Carvajal, Bale, Benzema/Jese na Ronaldo.
    Deportivo; Fabricio, Laure, Pablo, Lopo, Luisinho; Bergantinos, Borges/Dominguez, Cuenca, Perez/Medunjanin, Cavaleiro na Riera/Costa.
    Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia baada ya kuipita kwa pointi nne Barcelona katika mbio za taji la La Liga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YAIACHA POINTI NNE BARCELONA LA LIGA BAADA YA KUIBUTUA 2-0 DEPORTIVO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top