Leroy Fer akipiga mpira kichwa mbele ya Liam Bridcutt kuunganisha krosi ya Matt Phillips kumtungua kipa Costel Pantilimon kuifungia QPR bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Sunderland Uwanja wa Light usiku wa jana. Bao la pili la QPR lilifungwa na Bobby Zamora na ushindi huo wa kwanza ugenini msimu wote huu, unaitoa timu hiyo nafasi za mkiani.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2948267/Sunderland-0-2-QPR-Bobby-Zamora-scores-stunning-volley-Rangers-sink-Black-Cats-earn-away-points-season.html#ixzz3RPE2ASlT
0 comments:
Post a Comment