MUINGEREZA Andy Murray ameshindwa kutwaa taji la Australian Open baada ya kufungwa na Novak Djokovic jioni ya leo.
Mpinzani wake wa muda mrefu, Mserbia Djokovic alikuwa anacheza na akili ya Murray baada ya kujifanya kaa amechoka, kabla ya kuzinduka na kushinda 7-6 (7-5), 6-7 (4-7), 6-3, 6-0.
Baada ya kipigo hicho Murray aliketi chini na kuanza kuzipiga piga chini fimbo zake za kuhezea tenisi akizivunja vunja kwa hasira.
Novak Djokovic akiinua taji lake la Australian Open leo nchini Australia
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/tennis/article-2935050/Novak-Djokovic-storms-fifth-Australian-Open-title-beating-British-No-1-Andy-Murray-four-sets.html#ixzz3QVi1YLlk
0 comments:
Post a Comment