// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NGASSA ALIPOWAOMBA MSAMAHA SIMBA SC JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NGASSA ALIPOWAOMBA MSAMAHA SIMBA SC JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, February 09, 2015

    NGASSA ALIPOWAOMBA MSAMAHA SIMBA SC JANA TAIFA

    Mara mbili jana Mrisho Ngassa alionyesha ishara ya kuwaomba msamaha mashabiki wa Simba SC baada ya kufunga mabao yote mawili, Yanga SC ikishinda 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Alikuwa anamanisha nini? 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NGASSA ALIPOWAOMBA MSAMAHA SIMBA SC JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top