Mchezaji mpya wa Hull City, Dame N'Doye akipambana na Ciaran Clark wa Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usikunwa jana. Wenyeji, Hull City walishinda 2-0, mabao ya N'Doye na Nikica Jelavic
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2948150/Hull-City-2-0-Aston-Villa-New-Tigers-strike-force-Dame-N-Doye-Nikica-Jelavic-push-Paul-Lambert-s-bottom-three.html#ixzz3RPCYymft
0 comments:
Post a Comment