// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NANI KIPA HAPA, NANI KADAKA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NANI KIPA HAPA, NANI KADAKA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, February 07, 2015

    NANI KIPA HAPA, NANI KADAKA!

    Kipa Ivo Mapunda wa Simba SC, kulia akiruka juu kwenda kuokoa mpira kwenye himaya ya mshambuliaji wa Coastal Union, Mohammed Mtindi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga timu hizo zikitoka 0-0. Lakini kabla ya Ivo kumfikia Mtindi, refa akapuliza filimbi ya kuotea na mshambuliaji huyo wa Coastal akawahi kuudaka mpira.
    Ivo kulia akichukua mpira kwa Mtindi baada ya filimbi ya kuotea.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NANI KIPA HAPA, NANI KADAKA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top