// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MWADUI WABEBA UBINGWA DARAJA LA KWANZA, SPORTS CHALI CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MWADUI WABEBA UBINGWA DARAJA LA KWANZA, SPORTS CHALI CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, February 22, 2015

    MWADUI WABEBA UBINGWA DARAJA LA KWANZA, SPORTS CHALI CHAMAZI

    Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, Nahodha wa Mwadui ya Shinyanga, Athumani Iddi 'Chuji' kulia leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kufuatia ushindi wa 1-0, bao pekee la Kelvin Sabato dakika ya 81 leo dhidi African Sports ya Tanga katika fainali ya michuano hiyo iliyowahusisha vinara wa makundi A (Mwadui) na B (Sports). Mwadui, Sports kwa pamoja na Majimaji ya Songea na Toto Africans ya Mwanza zimepanda Ligi Kuu. 
    Juma Mnyasa wa Mwadui (kushoto) akipambana na wa African Sports, Ayoub Masoud


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWADUI WABEBA UBINGWA DARAJA LA KWANZA, SPORTS CHALI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top