Video hii inamuonyesha Mrisho Ngassa alivyoifungia Yanga SC bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumapili akimtungua kipa Said Mohamed wa Mtibwa Sugar baada ya pasi ya Haruna Niyonzima. Yanga SC ilishinda 2-0, mabao yote akifunga Ngassa.
MRISHO NGASSA ALIVYOMTESA KIPA WA MTIBWA
Video hii inamuonyesha Mrisho Ngassa alivyoifungia Yanga SC bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumapili akimtungua kipa Said Mohamed wa Mtibwa Sugar baada ya pasi ya Haruna Niyonzima. Yanga SC ilishinda 2-0, mabao yote akifunga Ngassa.
0 comments:
Post a Comment