// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MKUTANO MKUU WA TFF KUFANYIKA MOROGORO. - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MKUTANO MKUU WA TFF KUFANYIKA MOROGORO. - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, February 24, 2015

    MKUTANO MKUU WA TFF KUFANYIKA MOROGORO.

    Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM
    KAMATI ya Utendaji ya Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini -TFF iliyokutana jumapili Februari 22 mwaka huu, imefanya mabadiliko ya mahali utakaofanyika Mkutano Mkuu wa mwaka kutoka Mkoa wa Sinigida na kuhamishia mkoa wa Morogoro.
    Hatua hiyo imefikiwa na Kamati ya Utendaji kutokana na sababu za kutokukamilika kwa miundombinu ya mkutano mkuu na kuwepo ka shughuli nyingine za kijamii mkoani humo.

    Kamati ya Utendaji inamshukuru Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Singida (SIREFA), na uongozi mzima kwa kujitolea kuandaa mkutano huo na huko nyuma waliweza kuandaa mkutano wa makatibu wa vyama vya soka vya mikoa.
    TFF itaandaa vikao na matukio mengine mkoani Singida itakapotokea hapo baadae, tarehe ya mkutano mkuu itaendelea kubakia ile ile ya Machi 14, 15 mwaka huu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MKUTANO MKUU WA TFF KUFANYIKA MOROGORO. Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top