// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MESSI APIGA HAT TRICK YA TANO MSIMU MMOJA LA LIGA BARCA IKIUA 5-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MESSI APIGA HAT TRICK YA TANO MSIMU MMOJA LA LIGA BARCA IKIUA 5-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, February 15, 2015

    MESSI APIGA HAT TRICK YA TANO MSIMU MMOJA LA LIGA BARCA IKIUA 5-0

    BARCELONA imeshinda mecbhi ya 11 mfululizo, baada ya kuilaza Levante mabao 5-0  katika mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Camp Nou.
    Lionel Messi amefunga hat trick yake ya tano katika msimu huu wa La Liga kwa mabao yake ya dakika za 38, 59 na 65 kwa penalti, wakati mabao mengine yamefungwa na Neymar dakika ya 17 na Suarez dakika ya 73.
    Huo ni ushindi wa 11 mfululizo kwa Barcelona katika mashindano yote msimu huu.
    Kikosi cha Barca kilikuwa: Bravo, Montoya, Bartra, Mascherano, Adriano; Busquets, Xavi, Rakitic/Roberto dk62, Pedro, Messi na Neymar/Suarez dk67.
    Levante; Marino, Ivan Lopez/Jason dk 71, Navarro, Ramis, Tono, Diop/Mari dk78, Simao, Xumetra, Barral, Morales na Uche/Victor dk62.
    The Argentinian (left) was superb throughout and scored his fifth La Liga hat trick of the season 
    Messi kushoto akishangilia baada ya kupiga hat trick yake ya tano La Liga msimu huu
    Luis Suarez scored a wonderful bicycle kick after coming off the bench for Luis Enrique's side
    Luis Suarez amefunga bao zuri la tik tak leo

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2954650/Barcelona-5-0-Levante-Lionel-Messi-bags-impressive-hat-trick-Barca-outclass-opponents-make-11-straight-wins.html#ixzz3RqKcUk54 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI APIGA HAT TRICK YA TANO MSIMU MMOJA LA LIGA BARCA IKIUA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top