// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAPOKEZI YA YANGA SC MUHEZA LEO, PLUIJM AZINDUA TAWI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAPOKEZI YA YANGA SC MUHEZA LEO, PLUIJM AZINDUA TAWI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, February 02, 2015

    MAPOKEZI YA YANGA SC MUHEZA LEO, PLUIJM AZINDUA TAWI

    Mashabiki, wapenzi na wanachama wa Yanga SC wakiwa wametanda barabarani eneo la Muheza mkoani Tanga kwa ajili ya kuipokea timu yao iliyokuwa njiani kuelekea Tanga mjini kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumatano dhidi ya wenyeji, Coastal Union.
    Kikosi cha Yanga SC chini ya kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm kilishiriki uzinduzi wa tawi la klabu hiyo wilayani Muheza leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAPOKEZI YA YANGA SC MUHEZA LEO, PLUIJM AZINDUA TAWI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top