TIMU ya Manchester United imetoka nyuma na kushinda mabao 2-1 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England kwa vijana walio chini ya umri wa miaka usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Leigh Sports Village.
Dominic Solanke aliwafungia wenyeji bao la kuongoza dakika ya 55, kabla ya Andreas Pereira kuwasazawazisishia.
Beki Tom Thorpe alihitimisha ushidi wa United, kwa kufunga bao la pili zikiwa zimbeaki dakika sita.
Beki wa kati wa Man United, Tom Thorpe (kulia kabisa) akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushndi dhidi ya Chelsea
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2946519/Manchester-United-U21-2-1-Chelsea-U21-Tom-Thorpe-s-header-completes-turnaround-hosts-secure-win-rivals.html#ixzz3RJIXMsPt
0 comments:
Post a Comment