Beki wa England, Jill Scott (kulia) akiupitia mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Marekani, Christen Press katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa soka ya wanawake baina ya timu hizo uliofanyika Milton Keynes. Marekani ilishinda 1-0, bao pekee la Alex Morgan, wakati Jodie Taylor aliifungia England bao lililokataliwa kwa sababu alikuwa ameotea. Fran Kirby wa England mwenye umri wa miaka 21 alitajwa mchezaji bora wa mechi.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2953087/England-0-1-USA-Alex-Morgan-header-clinches-narrow-win-visitors-Milton-Keynes-friendly.html#ixzz3Rha7zWM2
0 comments:
Post a Comment