Mshambuliaji Romelu Lukaku akisema na mashabiki wa Everton baada ya mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Crsytal Palace ambayo timu yake ilishinda 1-0 ugenini, bao pekee akifunga yeye mwenywe Uwanja wa Selhust dakika ya pili tu
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2934418/Crystal-Palace-0-1-Everton-Romelu-Lukaku-quick-mark.html#ixzz3QRUz7AEG
0 comments:
Post a Comment