// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, February 15, 2015

    LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

    LIVERPOOL imetinga Robo Fainali ya Kombe la FA England baada ya kuichapa Crystal Palace mabao 2-1 katika mchezo wa Raundi ya Tano usiku huu Uwanja wa Selhurst Park.
    Liverpool ililazimika kutoka nyumba kupata ushindi huo, baada ya Fraizer Campbell kutangulia kuifungia Crystal Palace dakika ya 16 ya mchezo huo.
    Daniel Sturridge akaisawazishia Liverpool dakika ya 49 kabla ya Adam Lallana kuwafungia bao la pili na la ushindi Wekundu hao dakika ya 58.
    Kikosi cha Crystal Palace kilikuwa: Speroni, Kelly/Guedioura dk64, Hangeland, Dann, Souare, Bolasie/Zaha dk72, Ward, Ledley, Gayle, Chamakh/Puncheon dk46 na Campbell.
    Liverpool: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Markovic/Balotelli dk46, Allen, Henderson, Moreno, Lallana, Sturridge/Lambert dk78 na Coutinho/Lovren dk79.
    Mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge akishangilia na mchezaji mwenzake, Alberto Moreno (kulia)

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2953713/Crystal-Palace-1-2-Liverpool-Daniel-Sturridge-Adam-Lallana-strike-Reds-come-FA-Cup-fifth-round-clash.html#ixzz3RkwDemdm 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top