Kiungo wa Liverpool, Philippe Coutinho (kulia) akimtoka kiungo wa Everton, James McCarthy katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Goodison Park. Timu zilitoka 0-0.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2944028/Everton-0-0-Liverpool-Steven-Gerrard-s-final-Merseyside-derby-ends-Premier-League-stalemate-Goodison-Park.html#ixzz3R61wP0WF
0 comments:
Post a Comment