// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KWENYE KONA, YANATOKEA MENGI LIGI KUU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KWENYE KONA, YANATOKEA MENGI LIGI KUU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, February 08, 2015

    KWENYE KONA, YANATOKEA MENGI LIGI KUU!

    Wachezaji wa Simba SC na Coastal Union katika pilika za kusubiri mpira wa kona unaopigwa na Mganda, Emmanuel Okwi. Kama unavyojionea picha hii pilika za wachezaji mmoja baada ya mwingine. Imekuwa ni kawaida wakati wa kusubiri mipira ya kona wachezaji wa timu za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufanyiana vitendo mbalimbali, vikiwemo vya kudhalilishana. Mchezo huu ulifanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga Jumamosi na timu hizo zilitoka 0-0.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KWENYE KONA, YANATOKEA MENGI LIGI KUU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top