Kiungo wa zamani wa Liverpool, Jonjo Shelvey akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushidni Swansea City dakika ya 83 ikiwalaza wenyeji Southampton 1-0 Uwanja wa St Mary's katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2935343/Southampton-0-1-Swansea-City-Jonjo-Shelvey-stuns-high-flying-Saints-super-strike.html#ixzz3QWOfug6a
0 comments:
Post a Comment