// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JEURI YA PACQUIAO; AAHIDI KUMPA MAYWEATHER DOLA MILIONI 5 VIPIMO VIKIBAINI ANATUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JEURI YA PACQUIAO; AAHIDI KUMPA MAYWEATHER DOLA MILIONI 5 VIPIMO VIKIBAINI ANATUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, February 17, 2015

    JEURI YA PACQUIAO; AAHIDI KUMPA MAYWEATHER DOLA MILIONI 5 VIPIMO VIKIBAINI ANATUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU

    BONDIA Manny Pacquiao amempa ofa ya dola za Kimarekani Milioni 5 mpinzani wake, Floyd Mayweather Jnr iwapo atafeli vipimo vya kama anatumia dawa za kuongeza nguvu zilizpigwa mchezoni.
    Mfilipino huyo ametoa ofa hiyo kuelekea pambano lao kali linalosubiriwa kwa hamu lenye thamani ya Pauni Milioni 200 Mei mwaka huu.
    Pacquiao, ambae pia amethibitisha pambano hilo linakuja, amekubali sharti la Mayweather kufanyiwa vipimo katika mtindo wa michezo ya Olimpiki.
    Mmarekani, Mayweather anatarajiwa kutangaza kukubali kuzipiga na nyota wa Filipino mjini Las Vegas, Marekani Mei 2, 2015.
    Mayweather and Pacquiao swap numbers on the basketball court
    Mayweather and Pacquiao swap numbers on the basketball court
    Mayweather na Pacquiao wakizungumza baada ya kukutana uso kwa uso kwenye Uwanja wa mpira wa kikapu hivi karibuni
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JEURI YA PACQUIAO; AAHIDI KUMPA MAYWEATHER DOLA MILIONI 5 VIPIMO VIKIBAINI ANATUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top