Refa Alberto Undiano (kushoto) akimuonyesha kadi nyekundu beki wa Bayern Munich, Xabi Alonso aliyekuwa kicheza mechi yake ya 100 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo, dhidi ya wenyeji Shakhtar Donetsk. Timu hizo zilitoka 0-0.
Alonso (kushoto), amecheza mechi yake ya 100 ya Ligi ya Mabingwa jana na hapa akiliki mopira dhidi ya Taison wa Shakhtar
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2957583/Shakhtar-Donetsk-0-0-Bayern-Munich-Xabi-Alonso-sees-red-100th-Champions-League-appearance.html#ixzz3S3PGsbLQ
0 comments:
Post a Comment