Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) akimtoka mshambuliaji wa Malaga, Samuel Castillejo (kulia) katika mchezo wa La Liga usiku wa leo. Barca ilichapwa 1-0, bao pekee la Juanmi Jimenez.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/article-2963065/Barcelona-0-1-Malaga-Lionel-Messi-t-net-against-plucky-Malaga.html#ixzz3SPepAV75
0 comments:
Post a Comment