// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BAO LA TORRES LAKATALIWA, ATLETICO MADRID YACHAPWA 1-0 UJERUMANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BAO LA TORRES LAKATALIWA, ATLETICO MADRID YACHAPWA 1-0 UJERUMANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 26, 2015

    BAO LA TORRES LAKATALIWA, ATLETICO MADRID YACHAPWA 1-0 UJERUMANI

    The experienced striker (left) challenges for the ball with Leverkusen midfielder Roberto Hilbert (right)
    Mshambuliaji mkongwe wa Atletico Madrid, Fernando Torres (kushoto) akigombea mpira na kiungo wa Bayer Leverkusen, Roberto Hilbert (kulia) katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu nchini Ujerumani. Leverkusen ilishinda 1-0, bao pekee la Hakan Calhanoglu dakika ya 12, ingawa Torres alifunga lililokataliwa zikiwa zimebaki dakika 15. Lakini Atletico inapewa nafasi ya kupindua matokeo hayo katikaa mchezo wa marudiano Vicente Calderon Machi 17 na kwenda Robo Fainali ya michuano hiyo. 

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2969399/Fernando-Torres-endures-night-forget-Leverkusen-Atletico-Madrid-man-flatters-deceive-Champions-League-return.html#ixzz3SoPUiKll 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAO LA TORRES LAKATALIWA, ATLETICO MADRID YACHAPWA 1-0 UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top