// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC NA EL MERREIKH KATIKA PICHA JANA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC NA EL MERREIKH KATIKA PICHA JANA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, February 16, 2015

    AZAM FC NA EL MERREIKH KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche (kushoto) akiwania mpira dhidi ya beki wa El Merreikh ya Sudan, El Rayah Maki katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabigwa Afrika jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 2-0.
    Didire Kavumbangu wa Azam FC akimiliki mpira mbele ya mabeki wa Merreikh

    Winga wa Azam FC, Brian Majwega akimiliki mpira mbele ya beki wa Merreikh jana

    Didier Kavumbangu wa Azam FC akimtoka beki wa Merreikh ya Sudan

    Kiungo wa Azam FC, Kipre Michael Balou akimiliki mpira mbele ya beji wa Merreikh jana

    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwatoka viungo wa Merreikh

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA EL MERREIKH KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top