// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC KATIKA HIMAYA YA JESHI SUDAN KWA AMANI KABISA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC KATIKA HIMAYA YA JESHI SUDAN KWA AMANI KABISA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 26, 2015

    AZAM FC KATIKA HIMAYA YA JESHI SUDAN KWA AMANI KABISA

    Mabeki wa Azam FC, Serge Wawa Pascal (kushoto) na Said Mourad (kulia) wakijiandaa kwa mazoezi jana Uwanja wa jeshi nchini Sudan. Azam FC waliwasili usiku wa kuamkia jana mjini Khartoum, Sudan kwa ajili ya mchezo wa marudiao Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, El Merreikh mwishoni mwa wiki.
    Wachezaji wa Azam wakijiandaa kwa mazoezi jana

    Makocha wa Azam FC kutoka kushoto, George 'Best' Nsimbe (Msaidizi), Joseph Marius Omog (Mkuu), Ibrahim Shikanda (Msaidizi wa pili) na Iddi Abubakar wa makipa wakiwa katika kikao

    Wachezaji wakifanya mazoezi mepesi Uwanja wa Jeshi

    Beki tegemeo la timu, Aggrey Morris akijiandaa

    Wachezaji wanaaonekana wapo katika hali nzuri kuelekea mchezo huo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC KATIKA HIMAYA YA JESHI SUDAN KWA AMANI KABISA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top