Anderson Silva (kulia) akimpiga Nick Diaz katika pambano lake la kwanza baada ya zaidi ya mwaka wa kuwa nje sababu ya majeruhi. Mbrazil huyo alishinda kwa 50=45 mara mbili na 49-46 mara moja ukumbi wa UFC 183. Baada ya pambano, Silva alijiangusha chini ulingoni na kuanza kulia alipotangazwa mshindi.
Diaz akipatiwa huduma ya kwanza kupunguziwa majeruhi
0 comments:
Post a Comment