
Saturday, February 28, 2015

AAZAM FC imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kufungwa mabao 3-0 na El Merreikh ya Sudan katika mchezo wa marudiano wa Ra...
COASTAL YAIPIGA 1-0 MGAMBO, MVUA YAVUNJA MECHI YA STAND UTD NA KAGERA KAMBARAGE
Saturday, February 28, 2015
BAO pekee la Mganda Yayo Kato Lutimba limeipa ushindi wa 1-0 Coastal Union dhidi ya Mgambo JKT jioni ya leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mg...
SUAREZ AENDELEZA MOTO WA MABAO BARCA IKIPIGA MTU 3-1 LA LIGA
Saturday, February 28, 2015
TIMU ya Barcelona imeifunga Granada mabao 3-1 katika La Liga jioni ya leo na kupunguza pengo la pointi dhidi ya vinara Real Madrid hadi k...
ROONEY AWAPA RAHA MAN UNITED, APIGA ZOTE MBILI ‘SHETANI’ LIKIUA 2-0 OLD TRAFFORD
Saturday, February 28, 2015
TIMU ya Manchester United imeifunga Sunderland mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Ikio...
SIMBA SC YAFANYA MAUWAJI HAIJATOKEA MSIMU HUU, YAITANDIKA PRISONS 5-0 TAIFA
Saturday, February 28, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imezinduka kutoka kwenye kipigo cha 1-0 cha Stand United wiki iliyopita mjini na Shinyanga na j...
KAPTENI JOHN KOMBA ALIYEIMBA 'MGENI' AFARIKI DUNIA
Saturday, February 28, 2015
MBUNGE wa Mbinga Magharibi na mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT) Kapten John Komba amefariki dunia muda huu. Katibu mipango wa TOT...
SIMBA SC KAZI WANAYO KWA PRISONS LEO TAIFA
Saturday, February 28, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa nyasi za viwanja vinne kuwaka moto kwa mi...
AZAM KATIKA VITA KWELI SUDAN MBELE YA EL MERREIKH LEO
Saturday, February 28, 2015
Na Mwandishi Wetu, KHARTOUM MABINGWA wa Tanzania Bara, Azam FC leo watakuwa katika mtihani mzito mjini Khartoum, Sudan wakati watakapomeny...
Friday, February 27, 2015
NGASSA AIPAISHA YANGA SC MICHUANO YA AFRIKA, YASONGA MBELE LICHA YA KUPIGWA 2-1
Friday, February 27, 2015
Na Mwandishi Wetu, GABORONE BAO la Mrisho Khalfan Ngassa limeipeleka Yanga SC Raundi ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kui...
NGASSA, MRWANDA NA TAMBWE WAANZISHWA PAMOJA DHIDI YA BDF LEO, SALUM TELELA ‘MASTER’ ATUPWA BENCHI
Friday, February 27, 2015
Na Mwandishi Wetu, GABORONE KOCHA Mholanzi, Hans van der Pluijm amewaanzisha kwa pamoja Mrisho Ngassa, Amissi Tambwe, Simon Msuva na Danny...
MCHEZAJI SERBIA ATISHIWA KUUAWA KWA MTUTU WA BUNDUKI KISA KUKOSA PENALTI
Friday, February 27, 2015
MCHEZAJI wa klabu ya Ligi Kuu ya Serbia, Novi Pazar ametishiwa kupigwa bastola na mashabiki baada ya kukosa penalti, taarifa ya chama cha ...
WAZIRI WA KIKWETE ATUA SUDAN KUIPA ULINZI AZAM FC
Friday, February 27, 2015
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo, Alhaj Juma Nkamia (kushoto) akizungumza na wachezaji wa Azam FC mazoezini Uwanja wa ...
VIGOGO YANGA SC WAZIDI KUMIMINIKA GABORONE
Friday, February 27, 2015
Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mussa Katabaro akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam alf...
PLUIJM AWAPA UHAKIKA YANGA SC WANALING’OA JESHI LA BOTSWANA AFRIKA
Friday, February 27, 2015
Na Mwandishi Wetu, GABORONE KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm amewatoa hofu wapenzi wa timu hiyo kuelekea mchezo wa leo...
INTER MILAN NAYO YASONGA MBELE EUROPA LEAGUE
Friday, February 27, 2015
Van Dijk wa Celtic akigombea mpira na mshambuliaji wa Inter Milan, Mauro Icardi katika mchezo wa Europa League usiku huu mjini Milan...
MCHEZAJI WA CHELSEA AIADHIBU SPURS NA KUITUPA NJE ULAYA
Friday, February 27, 2015
+23 Mshambuliaji wa Chelsea, Mohammed Salah anayecheza kwa mkopo Fiorentina ya Italia, akishangilia baada ya kuifungia timu...
LIVERPOOL YATUPWA NJE YA MICHUANO YA ULAYA
Friday, February 27, 2015
LIVERPOOL imetupwa nje ya michuano ya Europa League, baada ya kufungwa kwa penalti 5-4 na Besiktas kufuatia sare ya jula ya 1-1. Tolgay...
Thursday, February 26, 2015
POLISI ZENJI YAAHIDI MAAJABU KOMBE LA SHIRIKISHO, YAPANIA KUPIGA WAGABON 6-0
Thursday, February 26, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LICHA ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa Michuano ya Kombe la Shrikisho Barani Afrika dhidi ya CF Mouna...
KAGERA SUGAR WAINYIMA AMANI STAND UNITED NYUMBANI KWAO
Thursday, February 26, 2015
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Stand United ya Shinyanga, Mathias Lule ni kama ameanza kuwahofia wapinzani wake Kagera Suga...
STARS YAPANGWA NA ZIMBABWE KUWANIA ROBO FAINALI KOMBE LA CASTLE
Thursday, February 26, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imepangwa pamoja na Namibia, Lesotho na Zimbabwe katika ...
YANGA SC YAMTIMUA MWANAJESHI WA BOTSWANA ALIYEVAMIA KAMBI YAO
Thursday, February 26, 2015
Na Mwandishi Wetu, GABORONE KLABU ya Yanga imefanikiwa kumnasa mmoja wa mashushu wa wapinzani wao BDF ya Botswana baada ya kumbaini mmoja ...
WAGANDA 26 WAHAMIA LIGI KUU KENYA KUUMIZA NYASI
Thursday, February 26, 2015
Baadhi ya wachezaji wa Uganda wanaocheza Kenya, kutoka kushoto Aziz Kemba, Matthew Odongo, Ali Kimera, Hamza Muwonge ORODHA YA WA...
JAHAZI MODERN TAARAB NA MASHAUZI CLASSIC JUKWAA MOJA MACHI 22
Thursday, February 26, 2015
HATIMAYE makundi mawili yanayoaminika kuwa na mashabiki wengi zaidi katika taarab, Jahazi Modern Taarab na Mashauzi Classic yatafanya ony...
AZAM TV ‘KURUSHA LIVE’ MECHI YANGA NA BDF BOTSWANA KESHO
Thursday, February 26, 2015
Rhys Torrington (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Azam Media Group Limited, Yussuf Bakhresa (kushoto) TELEVISHENI ya kisasa ya kulipia kwa...
YANGA SC WALIVYOUJARIBU UWANJA AMBAO KESHO WATAWANIA TIKETI YA KUSONGA MBELE AFRIKA
Thursday, February 26, 2015
Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Lobatse nchini Botswana jioni ya leo ambao utatumika kwa ajili ya mechi ya kesho...
TAIFA STARS KUSHIRIKI KOMBE LA COSAFA
Thursday, February 26, 2015
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM TIMU ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imethibitisha kushiriki michuano ya kombe la COSAFA nchini Afrik...
TFF YAZITILIA UBANI AZAM, YANGA, KMKM NA POLISI MICHUANO YA AFRIKA
Thursday, February 26, 2015
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limezitakia kila la kheri na ushindi timu za Azam na Yanga SC katika ...
Subscribe to:
Posts (Atom)