Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiruka miguu ya beki wa Polisi, Mohammed Mpopo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Yanga SC ilishinda 1-0 |
Kiungo wa Yanga SC, Salum Telela akiruka juu kupiga kichwa dhidi ya kiungo wa Polisi, Said Mkwangu |
Beki wa Polisi, Lulanga Mapunda akimdhibiti kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Danny Mrwanda akimlamba chenga beki wa Polisi, Mohamed Mpopo |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman kushoto akimtoka beki wa Polisi, Laban Kamboole |
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi, Laban Kamboole |
0 comments:
Post a Comment