Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 4-0. |
Beki wa Polisi akiwa amemuangusha Msuva nje kidogo ya boksi |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe (kushoto) akimtoka beki wa Polisi |
Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Polisi |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Polisi |
Beki wa Polisi akiinua mguu kuondosha mpira kwenye himaya ya Coutinho |
0 comments:
Post a Comment