// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC NA SHABA KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC NA SHABA KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, January 07, 2015

    YANGA SC NA SHABA KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR

    Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho akimtoka beki wa Shaba katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 1-0 bao la Coutinho mwenyewe.
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akipambana na beki wa Shaba 
    Andrey Coutinho akimtoka beki wa Shaba
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akipiga mpira pembeni ya beki wa Shaba
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa katika harakati jana Uwanja wa Amaan
    Beki wa Yanga SC, Juma Abdil akimtoka beki wa Shaba
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA SHABA KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top