Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akimuacha chini beki wa Taifa ya Jang'ombe jana katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 4-0. |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Taifa |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe kushoto akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Taifa |
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akiwatoka mabeki wa Taifa. Msuva alifunga mabao matatu peke yake jana na akamsetia Kpah Sherman kufunga la nne |
Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiwatoka mabeki wa Taifa |
0 comments:
Post a Comment