// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); VALDES ATUNGULIWA KIMOKO NA MADOGO WA U21 LIVERPOOL MAN UNITED IKISHINDA 2-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE VALDES ATUNGULIWA KIMOKO NA MADOGO WA U21 LIVERPOOL MAN UNITED IKISHINDA 2-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, January 27, 2015

    VALDES ATUNGULIWA KIMOKO NA MADOGO WA U21 LIVERPOOL MAN UNITED IKISHINDA 2-1

    Manchester United keeper Victor Valdes was virtually a spectator until he was beaten by Jerome Sinclair's rasping drive
    Kipa wa Manchester United, Victor Valdes akiwa langoni jana alipoidakia timua ya vijana chini ya umri wa miaka 21 ya klabu hiyo ikishinda 2-1 dhidi ya U21 dhidi ya Liverpool usiku wa jana Uwanja wa Old Traffod. Valdes ambaye hajawahi kuidakia United mechi yoyote, aliyemfunga bao la kwanza akiwa na jezi ya Mashetani hao Wekundu ni Jerome Sinclair. Mabao au United yamefungwa na NIck Powel na Paddy McNair. 

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2927332/Manchester-United-U21-2-1-Liverpool-U21-Victor-Valdes-beaten-debut-Jerome-Sinclair-Paddy-McNair-strike-secures-win.html#ixzz3Pzg4NHXc 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VALDES ATUNGULIWA KIMOKO NA MADOGO WA U21 LIVERPOOL MAN UNITED IKISHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top