Mchezaji wa Taifa ya Jang'ombe akijimwagia maji kwa jagi baada ya kunywa katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Mapinduzi jana dhidi ya Simba SC Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba ilishinda 4-0. |
Hiki ni kikosi cha Taifa kilichomenyana na Simba jana, tazama kwa makini jezi, utagundua ni aina mbili tofauti. |
0 comments:
Post a Comment