Mfungaji wa bao la Zambia, Emmanuel Mayuka (kushoto) akipambana na Rami Bedoui wa Tunisia katika mchezo wa Kundi B, Fainali za Mataifa Uwanja wa Ebebiyin nchini Equatorial Guinea leo. Tunisa ilitoka nyuma na kushinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Ahmed Akaichi dakika ya 70 na Yassine Chikhaoui dakika ya 89, wakati Mayuka aliifungia Zambia bao la kuongoza dakika ya 59.
Woods and son Charlie, 15, tied for first in Orlando
-
Tiger Woods and his 15-year-old son Charlie end the first day of the PNC
Championship in Orlando in a three-way tie of the lead.
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment