Mshambuliaji Fernando Torres akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid baada ya kuifungia mabao mawili katika sare ya 2-2 na Real Madrid Uwanja wa Bernabeu usiku wa jana mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania. Mabao ya Real yalifungwa na Sergio Ramos na Cristiano Ronaldo. Atletico sasa itamenyana na Barcelona katika Robo Fainali.
Torres akimtungua Keylor Navas usiku wa jana. Atletico imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-2 baada ya awali kushinda 2-0 nyumbani.
PICHA ZAIDI ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2912261/Real-Madrid-2-2-Atletico-Madrid-agg-2-4-Fernando-Torres-scores-twice-upstage-Ballon-d-winner-Cristiano-Ronaldo-set-Barcelona-
0 comments:
Post a Comment