// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
TEMEKE YAWASHUGHULIKIA KISAWASAWA ‘MASISTADUU’ WA ILALA KOMBE LA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINETEMEKE YAWASHUGHULIKIA KISAWASAWA ‘MASISTADUU’ WA ILALA KOMBE LA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
TEMEKE YAWASHUGHULIKIA KISAWASAWA ‘MASISTADUU’ WA ILALA KOMBE LA TAIFA
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TEMEKE imeinyanyasa Ilala katika Nusu Fainali ya Kombe la Taifa kwa Wanawake baada ya kuitandika mabao 4-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Temeke wakiwa katika viunga vya nyumbani, wakishangiliwa na mashabiki wengi waliojitokeza uwanjani, waliifunika kabisa Ilala jioni ya leo na sas
Mfungaji wa mabao mawili ya Temeke leo, Neema Paul akishangilia moja ya mabao yake na chini wachezaji wa Temeke wakishangilia ushindi wao wa kishindo
a watakutana na Pwani katika Fainali Jumapili. Neema Paul alifunga mabao mawili ya Temeke katika mchezo huo, dakika ya 12 na 62, wakati mabao mengine yalifungwa na Shamim Hamisi dakika ya 69 na Stumai Abdallah dakika ya 70. Kikosi cha Temeke kilikuwa; Belinda Julius, Ever Wailes/Fabiola German dk80+2, Ziada Ramadhani, Violeth Nicolas, Zuwena Aziz, Sada Ramadhani, Swaum Salum/Neema Ismail dk74, Shamin Hamisi, Hafidha Juma/Halima Hamdan dk40, Neema Paul na Stumai Abdalalah.
Stumai Abdallah wa Temeke akimtoka beki wa Ilala
Ziada Ramadhani wa Temeke akiwatoka mabeki wa Ilala
Ilala; Hamisa Chande, Saraphina Peter/Maria Bayo dk27, Rose Mpoma, Khadija Ally, Mayciana Prosper, Batuli Mohammed, Zainab Mlenda/Jaqcueline Albert dk45, Hamida Fadhil, Fatuma Issa/Salma Masoud dk41, Madeline Sylvester/Aisha Kidunda dk66 na Ramla Said/Mariam Said dk41.
Preview: Arsenal v Everton
-
All the team news, tactics, TV coverage and in-depth stats ahead of our
game with the Toffees are here in your matchday guide
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment