Kocha wa Taifa Stars, Mholanzi Mart Nooij (katikati) akitoa maelekezo kwa wachezaji wake leo Kirumba |
Beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' kulia akitafuta maarifa ya kumpita kiungo Salum Telela katika mazoezi ya Stars Maboresho leo |
Kocha Nooij akiongoza mazoezi CCM Kirumba |
Viungo Simon Msuva (kulia) na Said Ndemla kushoto |
Beki Joram Mgeveke akipiga mpira mazoezini |
0 comments:
Post a Comment