Mshambuliaji wa Tottenham, Emmanuel Adebayor, akijaribu kumtoka beki wa Sheffield United, Michael Doyle katika mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza Kombe la Ligi England, maarufu kama Capital One Cup Uwanja wa White Hart Lane, London. Spurs ilishinda 1-0, bao pekee la Andros Townsend kwa penalti baada ya Jay McEveley kuunawa mpira kwenye eneo la hatari. Nusu Fainali ya pili itachezwa Uwanja wa Bramall Lane Jumatano ijayo na mshindi wataakutana na mshindi kati ya Liverpool au Chelsea kwenye Fainali Uwanja wa Wembley
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2920708/Tottenham-1-0-Sheffield-United-Andros-Townsend-penalty-gives-Mauricio-Pochettino-s-slender-leg-lead-Blades-Capital-One-Cup-semi-final.html#ixzz3PWA9dGKX
0 comments:
Post a Comment