Wachezaji wa Tottenham wakiwa wamemlalia kumpongeza mfungaji wao bao lao la pili, Christian Eriksen katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sunderland Uwanja wa White Hart Lane leo. Bao la kwanza la Spurs lilifungwa na Jan Vertonghen wakati la Sunderland lilifungwa na Sebastian Larsson.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2914668/Tottenham-2-1-Sunderland-Christian-Eriksen-nets-late-winner-Spurs-Jermain-Defoe-makes-Black-Cats-debut.html#ixzz3P6e2tdCa
0 comments:
Post a Comment