Kiungo wa zamani wa Arsenal na Barcelona, Alex Song akigombea mpira dhidi ya Jake Livermore wa Hully City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo, West Ham United ya Song imeshinda 3-0, mabao ya Andy Carroll,
Morgan Amalfitano na Stewart Downing
0 comments:
Post a Comment