Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri akimili mpira mbele ya beki wa Polisi, Mohammed Hajji usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi. Simba SC ilishinda 1-0. |
Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akimlamba chenga Daniel Justine wa Polisi |
Mshambuliaji wa Simba SC, Simon Ssrunkuma akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Polisi, Suleiman Makungu |
Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akikabiliana na kiungo wa Polisi, Adam Juma |
Mshambuliaji wa Suimba SC, Dan Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Polisi |
Mshambuliaji wq Simba Sc, Elias Maguri akimiliki mpira mbele ya bekinwa Polisi |
0 comments:
Post a Comment