Mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma kulia akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa Mbeya City, Hamad Kibopile |
Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajibu akimtoka beki wa Mbeya City, Richard Peter |
Beki wa Nbeya City, Richard Peter akimdhibiti winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' |
Beki wa Simba SC, Nassor Masoud 'Chollo' kushoto akiruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya Deus Kaseke wa Mbeya City |
0 comments:
Post a Comment