// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, January 04, 2015

    SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR

    Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri akimtoka beki wa Mafunzo katika mchezo wa  Kundi C Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0.
    Kiungo wa Simba SC, Awadh Juma akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Mafunzo
    Beki wa Simba SC, Hassan Banda (kulia) akipambana na mchezaji wa Mafunzo
    Mshambuliaji wa Simba, Dan Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Mafunzo
    Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala'  kulia akimtoka beki wa Mafunzo
    Mchezaji wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akiwa ameruka dhdi ya mabeki wa Mafunzo na kipa wao kuwania mpira wa juu 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top