Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' wa Simba SC |
Didier Kavumbangu wa Azam FC akiwatoka wachezaji wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' kulia na Juuko Murushid |
Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akitafuta mipango ya kumtoka kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude |
Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimuacha chini Messi wa Simba SC, huku akifukuzwa na Said Ndemla |
Mshambuliaji wa Simba SC, Simon Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Azam FC |
0 comments:
Post a Comment