Serena Williams akishangilia baada ya kumfunga Madison Keys katika seti mfululizo na kutinga fainali ya michuano ya Australian Open. Serena Williams alimshinda Madison Keys kwa 7-6, 6-2 katika Nusu Fainali hiyo na sasa atapambana na mcheza tenisi bora mbili, Maria Sharapova katika fainali Jumamosi. Sharapova ametinga fainali baada ya kumfunga Mrusi mwenzake, Ekaterina Makarova kwa 6-3, 6-2.
Williams na Keys wakipeana mikono baada ya mechi yao
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/tennis/article-2930886/Serena-Williams-keeps-Australian-Open-title-hopes-alive-beats-American-teen-Madison-Keys-make-final.html#ixzz3QCACC5SR
0 comments:
Post a Comment