KLABU ya Arsenal imeichapa Hull City mabao 2-0 katika mchezo wa Randi ya Tatu ya Kombe la Uwanja wa Emirates, hivyo kutinga Raundi ya Nne ya michuano hiyo.
Shukrani kwao, wafungaji wa mabao hayo, Nahodha Per Mertesacker dakika ya 20 na Alexis Sanchez dakika ya 82.
Kikois cha Arsenal kilikuwa; Ospina, Bellerin, Chambers, Mertesacker, Monreal, Coquelin, Walcott/Oxlade-Chamberlain dk75, Rosicky, Cazorla, Campbell/Maitland-Niles dk90 na Sanchez/Akpom dk84.
Hull City; Harper, McShane, Maguire, Davies, Figueroa, Quinn, Huddlestone, Ince, Aluko/Elmohamday dk61, Brady na Sagbo/Hernandez dk67.
Kutoka kushoto Santi Cazorla, Hector Bellerin, Alex Oxlade-Chamberlain na Sanchez wakishangilia ushindi wao Uwanja wa Emirates
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2896426/Arsenal-2-0-Hull-City-Mertesacker-Alexis-Sanchez-provide-long-short-repeat-season-s-FA-Cup-final.html#ixzz3Ntak4Cxr
0 comments:
Post a Comment