Tukio lilitokea baada ya kipa Peter Manyika (kulia) kumdaka miguu mchezaji wa Mbeya City, Raphael Daudi akiwa anakwenda kufunga, huvyo refa kupuliza filimbi ya kuamuru penalti. |
Hatimaye Kambua kutoka Shy Town akanywea na kuirudisha kadi nyekundu mfukoni, penalti ikapigwa Simba akafa 2-1. |
0 comments:
Post a Comment