BAO la Raheem Sterling dakika ya 59 limeipa Liverpool sare ya 1-1 nyumbani na Liverpool katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Capital One Cup.
Katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Anfield, Eden Hazard alitangulia kuifungia Chelsea kwa penalty dakika ya 18, baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Emre Can
Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mingolet, Can, Skrtel, Sakho, Henderson, Gerrard/Lallana dk70, Lucas, Moreno, Markovic, Sterling na Coutinho.
Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Luis, Matic, Mikel, Hazard, Fabregas, Willian/Azpilicueta dk87 na Costa.
Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kusawazisha
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2918853/Liverpool-1-1-Chelsea-Raheem-Sterling-equalises-Eden-Hazard-s-penalty-set-Capital-One-Cup-semi-final-second-leg.html#ixzz3POxBixRy
0 comments:
Post a Comment