// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PELE WA MWANZA NA 'BABU' NGASSA WALIOWIKA SIMBA NA PAMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PELE WA MWANZA NA 'BABU' NGASSA WALIOWIKA SIMBA NA PAMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, January 20, 2015

    PELE WA MWANZA NA 'BABU' NGASSA WALIOWIKA SIMBA NA PAMBA

    Nyota waliowahi kuwika klabu za Pamba ya Mwanza na Simba SC ya Dar es Salaam, Juma Amir Maftah kulia enzi zake akiitwa Pele wa Mwanza na Khalfan Ngassa kushoto leo walikuwepo Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Kagera Sugar ya Bukoba na Azam FC ya Dar es Salaam iliyoshinda mabao 3-1.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PELE WA MWANZA NA 'BABU' NGASSA WALIOWIKA SIMBA NA PAMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top